wana jf habari,mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo,nina ideas za ujasiriamali ila nakwama mtaji,naplan kutumia boom ili kuanzisha biashara yangu,ila problem ni kuwa mtaji huwa haufiki kwani napungukiwa kiasi,ntapata wapi msaada wa mkopo kwa ajili ya kufanya biashara.dhamana yangu yaweza kuwa laptop yangu au account yangu kwa kuwa boom linapitishwa huko.naomba msaada wenu.nawasilisha.
mkuu ungetuambia ni biashara ya aina gani hiyo na nikiasi gani unapungukiwa, watu wangeweza kukushauri, hii ya kusema tu nimepungukiwa ina kuwa ngumu watu kukushauri.
- vilevile na kupa hongera kwa kuamua kutumia boom yako kuanzisha biashara, wakati wenzako wanaitumia kupondea raha wewe umeona ni bora uinvest, vizuri sana mkuu.
- hilo la business pamoja na kutokutuambia aina ya business unayo anzisha, jaribu kwanza kuanza na mtaji ulionao wewe, onyesha njia, usiseme tu umepungukiwa wakati hata kuanza jaujaanza. Mfano mtu nasema nataka kujenga nyumba ila nimepungukiwa fedha wakati hata msingi hajachimba kuonyesha kwamba ana nia dhabiti
Je, umefanya kwanza utafiti wa hiyo boda boda ndugu? umejua ni Risk kiasi gani ipo katika biashara hiyo? kama jibu ni ndiyo nakutakia mafanikio mema ndugu.😛oa
kwa case ya utafiti nimejitahidi ndugu,nimejua mapato yangu kwa wiki ambayo ni 50000,Nimefanikiwa kupata mtu ninayemjua sana hivyo kupunguza risk ya kuibiwa na kupata hesabu yangu,nimefuatilia bima kubwa comprehensive ambayo ntalipa 100000 kwa mwaka,nimejua wajibu wangu kama mmiliki,na wajibu wa m/kazi.kimsingi nimespend resources na energy kwenye hii insue. So mnastuck kuongeza mtaji kaka
Mkuu hongera sana, go for it, hakika utafanikiwa; kwa kuwa unataka kununua pikipiki basi una nafasi ya kutumia finance leasing (hii ni product ambayo unatumia asset utakayoinunua kama dhamana). Taasisi nyingi za kifedha zinatoa huduma hii, kwa hiyo jaribu kuzungukia taasisi tofauti ili kulinganisha riba zao. Mbali na hapo unaweza kuongea na ICB (International Commercial Bank) kama upo mkoa wa Dar es Salaam (sina uhakika kama wapo mikoani). Kuna kipindi walikuwa wanatoa mkopo marambili ya kiasi unachoweza kudeposit kwa case yako unaweza kupata 1, 600,00/= ila sina uhakika sana kama wanaendelea na hiyo product. Huku uraian kuna informal money lenders ambao riba zao ni kubwa sana hivyo sikushauri.
Lakini kwa kuwa upo chuo bado, ungejaribu kutumia Social capital uliyojitengenezea ili kuraise hiyo hela. Jaribu kuongea na marafiki zao hata watano wakuazime laki moja moja ili uanze kazi. Ukishindwa kabisa uza hiyo laptop ili kukwepa riba kabisa kwani utanunua nyingine nzuri zaidi wakati ukifika na utakuwa na bodaboda yako
NO anymore hatuna hyo product hapa ICB isipokua product ambayo ingemfaa ni SME faster loan ambayo pia kwa vile anataka haraka hatoiweza maana hyo inatolewa kwa ale wenye account na sisi na wamezitumia account zao zaidi ya miezi 6 na wawe wamepitisha kiasi cha 60Mn kwa miezi sita hao tunawapa 50% (30Mn) ya turnover yao without any collateral, tunachokifanya kwenye 30Mn tunatoa 25% (7.5Mn + 8,5%FD interest) tunakufungulia Fixed Deposi kwa kipindi chote cha marejesho ya mkopo huo then ukimaliza deni FD inamachua unapewa hela yako.
Mkopo huu ndio mkopo wenye liba kubwa hapa kwetu maana ni 23% kwa sababu ni mkopo ambao hauna dhamana kaabisa
NO anymore hatuna hyo product hapa ICB isipokua product ambayo ingemfaa ni SME faster loan ambayo pia kwa vile anataka haraka hatoiweza maana hyo inatolewa kwa ale wenye account na sisi na wamezitumia account zao zaidi ya miezi 6 na wawe wamepitisha kiasi cha 60Mn kwa miezi sita hao tunawapa 50% (30Mn) ya turnover yao without any collateral, tunachokifanya kwenye 30Mn tunatoa 25% (7.5Mn + 8,5%FD interest) tunakufungulia Fixed Deposi kwa kipindi chote cha marejesho ya mkopo huo then ukimaliza deni FD inamachua unapewa hela yako.
Mkopo huu ndio mkopo wenye liba kubwa hapa kwetu maana ni 23% kwa sababu ni mkopo ambao hauna dhamana kaabisa
Kaka BIGUP 😛oa sana kwa maelezo..lakini just a quick one, vipi sisi wa mikoani (Arusha to be exact)?Is very possible kwa kuwa tunatoa mkopo kuanzia 150Mn hadi 3Bn (SBL) kimsingi we lete mchanganuo wako tuone tutafanyaje, uwe unataka kununua ndege, train na reli zake, mabasi, kujenga hotel kimsingi kama una vigezo hivi basi njoo tuzungumze, a) uwe umeshaanza kufanya biashara jampo kuanzia miaka miwili na kuendelea, biashara yako iwe na akaunti popote, andaa barua ya maombi, Mchanganua wa biashara tokea mwnzo na unapoendelea, ukaguzi wa mahesabu wabiashara yako wa miaka mitatu, nyalaka za halali za biashara yako kama leseni, TIN nk, kopi ya hati ya dhamana yako.
Kimsingi Watanzania wengi hawana desturi ya kufanya ukaguzi wa mahesabu wa biashara zao kwa hyo unaweza kuziandaa tu sasa hivi, harafu nipigie tukutane tuone tunaanzia wapi (0713 988785)
Hii ni kwa mfanya biashara yeyote atakayesoma hapa kama nataka mkopo mkubwa basi anipigie tuongee, tafadhali ukipiga refaa kwa Jamii Forum ili tuelewane vyema.
Kaka BIGUP 😛oa sana kwa maelezo..lakini just a quick one, vipi sisi wa mikoani (Arusha to be exact)?
okay kaka ntaku sms,laptop inavalue from 500000-700000,ni dell lattitude XT2 kioo chake kinazunguka 360dgree na no touch screen,i tried to sell it also via jf but i gt stuck.Bosi wangu wapo watu ila naogopa kuweka mawasiliano yao humu ningependa sana kwa ajili ya wana JF lakini pengine wasingependa wenyewe, txt through my mobile 0713 988785 then ntakupatia namba za watu kadhaa ujaribu kucheck nao, je Ni laptop aina gani na umeinunua lini? the value of the laptop please.
Na mi natafuta mkopo dhamana kiwanja.