Msaada wa kupata shule hizi nauomba wana jf..ntashukurujeh

Msaada wa kupata shule hizi nauomba wana jf..ntashukurujeh

saly muh

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
30
Reaction score
5
Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa.
 
Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa.

Goba na Mabwepande.
 
Hivi huku tunajua hata majina ya shule kweli;
Labda wapite waalimu wako akina Bujibuji na wengineo
wakusaidie.
 
Last edited by a moderator:
sasa ndo jibu gani unalompa mwenzio wakati yeye yuko nia kweli
si ungemwambia zile shule za kata alizoanzisha lo--wa--sa kipindi kile
mfano aende pale mugabe, au mutalemwa
Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari
 
Wewe umeishia darasa la ngapi???

Inavyoelekea hata kusoma hauwezi..

Rudi kwanza shule.
 
Ivi ww mwenye jna mzee huelewi au??!!!napeleka mtoto..kama hujui izo shule ungepita tuu haikua na haja ya kuingia kwenye thread!
 
Back
Top Bottom