saly muh Member Joined May 31, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 9, 2013 #1 Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa.
Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa.
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Sep 9, 2013 #2 saly muh said: Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa. Click to expand... Goba na Mabwepande.
saly muh said: Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa. Click to expand... Goba na Mabwepande.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Sep 9, 2013 #3 Hivi huku tunajua hata majina ya shule kweli; Labda wapite waalimu wako akina Bujibuji na wengineo wakusaidie. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hivi huku tunajua hata majina ya shule kweli; Labda wapite waalimu wako akina Bujibuji na wengineo wakusaidie.
saly muh Member Joined May 31, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 9, 2013 Thread starter #4 KANCHI said: Goba na Mabwepande. Click to expand... Nimeuliza tu yawezekana yupo mtu anajua
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Sep 9, 2013 #5 saly muh said: Nimeuliza tu yawezekana yupo mtu anajua Click to expand... unataka kwenda kusoma/kufundisha/kupeleka mtoto/kutoa misaaada?
saly muh said: Nimeuliza tu yawezekana yupo mtu anajua Click to expand... unataka kwenda kusoma/kufundisha/kupeleka mtoto/kutoa misaaada?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,914 Reaction score 168,320 Sep 9, 2013 #6 Mamndenyi said: Hivi huku tunajua hata majina ya shule kweli; Labda wapite waalimu wako akina Bujibuji na wengineo wakusaidie. Click to expand... Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Hivi huku tunajua hata majina ya shule kweli; Labda wapite waalimu wako akina Bujibuji na wengineo wakusaidie. Click to expand... Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari
saly muh Member Joined May 31, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 9, 2013 Thread starter #7 Kupeleka mtotp
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Sep 9, 2013 #8 sasa ndo jibu gani unalompa mwenzio wakati yeye yuko nia kweli si ungemwambia zile shule za kata alizoanzisha lo--wa--sa kipindi kile mfano aende pale mugabe, au mutalemwa Bujibuji said: Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari Click to expand...
sasa ndo jibu gani unalompa mwenzio wakati yeye yuko nia kweli si ungemwambia zile shule za kata alizoanzisha lo--wa--sa kipindi kile mfano aende pale mugabe, au mutalemwa Bujibuji said: Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Sep 9, 2013 #9 walivyokuwa watoto wenyewe atakuwa kweli ni shule, ngoja tuone, Bujibuji said: Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari Click to expand...
walivyokuwa watoto wenyewe atakuwa kweli ni shule, ngoja tuone, Bujibuji said: Kuna shule mpya imeanzishwa kwenye kata ya watu8 inaitwa Mamndenyi sekondari Click to expand...
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Sep 9, 2013 #10 Wewe umeishia darasa la ngapi??? Inavyoelekea hata kusoma hauwezi.. Rudi kwanza shule.
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Sep 9, 2013 #11 Kilakala morogoro
saly muh Member Joined May 31, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 10, 2013 Thread starter #12 Ivi ww mwenye jna mzee huelewi au??!!!napeleka mtoto..kama hujui izo shule ungepita tuu haikua na haja ya kuingia kwenye thread!
Ivi ww mwenye jna mzee huelewi au??!!!napeleka mtoto..kama hujui izo shule ungepita tuu haikua na haja ya kuingia kwenye thread!