Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

Myla sadick

New Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
 
Si uende hapo shuleni masasi girls ukapatae utaratibu? Halafu mbona hata Jangwani A level wanakaa bweni? Shida nini?
 
Yeye alichagua day akidhani atapata chuo kumbe ikawa ndivyo sivyo kwaio iikabidi tumtaftie hostel lkn mazingira si mazuri
 
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
Mpaka sasa hivi bado hajaenda shule?
 
Back
Top Bottom