Habari zenu wakuu.
Nahitaji msaada wa kupata soko la ngozi za ngombe kwa hapa nchini hata nje ya nchi.
Moshi lipo, kuna kiwanda cha bidhaa za ngozi kipo himo , wananunua ngozi kwa bei nzuri mno
Yeah moshi ndio kuna soko la uhakika la ngozi kwa Tanzania nzimaShida hajasema yupo wapi, acheki mawasiliano nao atauza ngozi hizo chap sana, akishindwa kuuza ngozi Moshi, basi hawezi kuuza kwingine. 😊
Himo Tanneries ,+255 786 962 606 jaribu hiyo ni mda kidogo nilikua nayo , halafu unipe mrejeshoSamahani kinaitwaje au naweza kupata mawasiliano vipi?
rubii naomba nikusimange kidogo dada yangu.Samahani kinaitwaje au naweza kupata mawasiliano vipi?
rubii naomba nikusimange kidogo dada yangu.
Umeshindwa ku-search Google?
View: https://www.instagram.com/p/C2ZcIRpNRr5/?hl=en
Tupo pamoja mkuu.😅😅 jamani!!!
Nashukuru sana
Barikiwa