Bob Kimya Member Joined Sep 8, 2021 Posts 47 Reaction score 73 Apr 24, 2022 #1 Habari wakuu, Naomba msaada jinsi ya kuirudisha Ac I'd ya Jf ya zamani Nilijiunga toka mwaka 2015 lakini nimesahau password na email.
Habari wakuu, Naomba msaada jinsi ya kuirudisha Ac I'd ya Jf ya zamani Nilijiunga toka mwaka 2015 lakini nimesahau password na email.
Statics JF-Expert Member Joined Dec 29, 2017 Posts 394 Reaction score 1,015 Apr 24, 2022 #2 Unaikumbuka username ?
Bob Kimya Member Joined Sep 8, 2021 Posts 47 Reaction score 73 Apr 24, 2022 Thread starter #3 Ndio username naikumbuka
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 7,982 Reaction score 27,272 Apr 24, 2022 #4 Wafuate Mods PM watakusaidia, Mimi walinisaidia pia kipindi fulani..!
Fast Forward JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 551 Reaction score 709 Apr 24, 2022 #5 Mie ya kwangu sikumbuki email niliyoitumia ilikuwa ya mwaka 2009.