MSAADA WA KURUDISHA AC YA JF YA ZAMANI.

MSAADA WA KURUDISHA AC YA JF YA ZAMANI.

Bob Kimya

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
47
Reaction score
73
Habari wakuu,
Naomba msaada jinsi ya kuirudisha Ac I'd ya Jf ya zamani
Nilijiunga toka mwaka 2015 lakini nimesahau password na email.
 
Wafuate Mods PM watakusaidia, Mimi walinisaidia pia kipindi fulani..!
 
Mie ya kwangu sikumbuki email niliyoitumia ilikuwa ya mwaka 2009.
 
Back
Top Bottom