Msaada wa kusoma cetificate St John Dodoma

Msaada wa kusoma cetificate St John Dodoma

dogo hapa jukwaa la dgree sio cert wala dip nenda fb au nitatengeneza jukwaa lenu na la vyuo vya kata kama ud...0..../\/\
Unavyofanya sio fair kijana..kama huwezi kuchangia bora ukae kimya..sio lazima kila thread uchangie..
 
dogo hapa jukwaa la dgree sio cert wala dip nenda fb au nitatengeneza jukwaa lenu na la vyuo vya kata kama ud...0..../\/\
Hivi kwenu wangapo wana degree?wangapi kwenu wamewahi kusomea ud maake ur so extravagant so excited au we ndo wa kwanza kwenda chuo kwenu sio msomi ila wa kwanza?Hivi unajua kuna proffessors ambao walianzia certificate na diploma.na ungepata bahati ya kusoma Havard au Cambridge ingetukana taifa zima ninavyokuona.afu kuwa na adabu hii sio fb
 
Maskini akipata ------ uliambwata wakati nafanya field kama HR kuna mother 1 alianza kusoma cert tena ya ualimu ila sasa hv ana masters ya busness administration mwaka ujao anasoma PHD pale Mzumbe
 
Mwachen oil sumu amelize ualimu yake ndo dharau itamuishia.. atakuja humu akitafuta temple za.kufundsha tuit
 
Back
Top Bottom