focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Naomba kujua certificate in laboratory! Entry Qualifications zao.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyofanya sio fair kijana..kama huwezi kuchangia bora ukae kimya..sio lazima kila thread uchangie..dogo hapa jukwaa la dgree sio cert wala dip nenda fb au nitatengeneza jukwaa lenu na la vyuo vya kata kama ud...0..../\/\
Hivi kwenu wangapo wana degree?wangapi kwenu wamewahi kusomea ud maake ur so extravagant so excited au we ndo wa kwanza kwenda chuo kwenu sio msomi ila wa kwanza?Hivi unajua kuna proffessors ambao walianzia certificate na diploma.na ungepata bahati ya kusoma Havard au Cambridge ingetukana taifa zima ninavyokuona.afu kuwa na adabu hii sio fbdogo hapa jukwaa la dgree sio cert wala dip nenda fb au nitatengeneza jukwaa lenu na la vyuo vya kata kama ud...0..../\/\