chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia google utapata video za maelekezo mkuuPls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
Mkuu Asante kwa ushauri but nikuweke bayana tu kwamba mm sichagui jinsia but nilitaka kufahamu tu kuwa natarajia kupokea kiumbe cha jinsia ipi?Mtoto ni baraka awe wa kike au wakiume wote ni baraka hicho unachokitafuta hakitakuwa salama kwa afya yako Na ya mwanao kama ulitegemea wa kiume ukajua ni wa kike mapenzi kwa mwanao Na mama yatapungua vivo hivyo kwa wakike pia hivo mkuu ushauri wangu mpokee ajae Bila kuweka mbele jinsia Mungu akubarike mtoto ni baraka kwenye familia
nini hasa unachotaka.Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
Nilikua nahitaji kujua accuracy yakenini hasa unachotaka.
Kama ni uwezo wa kutambua jinsia kwa kutumia hicho kipimo, ndio kinaweza.
Ultrasound ikisema imesemaNilikua nahitaji kujua accuracy yake
Sawa mkuuUltrasound ikisema imesema