Msaada wa kutambua jinsia kwa kutumia ultrasound

Msaada wa kutambua jinsia kwa kutumia ultrasound

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
 
Mtoto ni baraka awe wa kike au wakiume wote ni baraka hicho unachokitafuta hakitakuwa salama kwa afya yako Na ya mwanao kama ulitegemea wa kiume ukajua ni wa kike mapenzi kwa mwanao Na mama yatapungua vivo hivyo kwa wakike pia hivo mkuu ushauri wangu mpokee ajae Bila kuweka mbele jinsia Mungu akubarike mtoto ni baraka kwenye familia
 
Mkuu Asante kwa ushauri but nikuweke bayana tu kwamba mm sichagui jinsia but nilitaka kufahamu tu kuwa natarajia kupokea kiumbe cha jinsia ipi?

By the way nimetoka kupima na wife now nimeshaambiwa jinsia lakini kile kivideo chao mm sijakielewa kabisa Yani mm naona kichwa cha mtoto ,mikono na miguu but ikija kwenye jinsia naona kama gizaa hivi but kuna alama ya V so Doctor ndoakanambia kuwa ni mtoto wa kike....
 
Yeye ndio mtaalamu kakuambia wa kike, Ila inaonekana hiyo jinsia ni kinyume na matarajio yako ndio maana umerudi kuuliza pole
 
Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
nini hasa unachotaka.
Kama ni uwezo wa kutambua jinsia kwa kutumia hicho kipimo, ndio kinaweza.
 
Back
Top Bottom