MwanzaSijajua kama gari yako inatumia throttle ya umeme au ya waya. Lakini 90% shida ipo kati ya kuanzia kwenye pedal ya accelerator mpaka kwenye throttle.
Upo wapi?
Hizi ndo zile gari namba DNM inauzwa mil 4.5 na maongezi yapo[emoji38][emoji38][emoji38]
Sawa mkuu ina maana waote wanaouza walikua hawapigi service??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Inategemeana na uwezo wako.! Kama hupigi service vizuri na unapiga route nyingi tu lazima Jasho la meno likutoke
Ndo mambo ya kununua gari 12m baada ya mwaka na nusu unauza 4.5mHizi Brevis zikianza kuzingua ni kupiga chini tu, zinazingua sana
iuze mkuu
Huwa nawashangaa sana watu wanaokejeli wanunuzi wa magari used. Ukinunua jipya la kwako utamuuzia nani siku ukihitaji kuliuza kama wote wataachana na used? Maana Tz hatuna recycle. Mm nawaheshimu sana wanunuzi wa magari used.Hizi ndo zile gari namba DNM inauzwa mil 4.5 na maongezi yapo๐๐๐
Sijakejeli mkuu! Kama wewe ni unapota kwenye mitandao ya magari yanayouzwa yaliyoyumika nchini...ni rahisi kukuta Brevis namba mpya kabisa inauzwa bei chee sana nyingi mil 4....tofauti na aina nyingine kama spacio,ist ,runx nkHuwa nawashangaa sana watu wanaokejeli wanunuzi wa magari used. Ukinunua jipya la kwako utamuuzia nani siku ukihitaji kuliuza kama wote wataachana na used? Maana Tz hatuna recycle. Mm nawaheshimu sana wanunuzi wa magari used.
Ok boss. Hawa sio wa kukejeli maana mjapan akishatumia anatuuzia ss halafu bila wanunuzi wa ndani watu tungekaa milele mpaka kifo kiwatenganishe na magari maana ungelipeleka wapi?Sijakejeli mkuu! Kama wewe ni unapota kwenye mitandao ya magari yanayouzwa yaliyoyumika nchini...ni rahisi kukuta Brevis namba mpya kabisa inauzwa bei chee sana nyingi mil 4....tofauti na aina nyingine kama spacio,ist ,runx nk