Msaada wa kutatua changamoto nayokutana nayo kwenye Brevis

Msaada wa kutatua changamoto nayokutana nayo kwenye Brevis

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Naomba msaada gari yangu aina ya brevis nikiendesha inakuwa kama inajump rpm inapopanda kutoka 1 kwenda 2 lkn ikishafika mbili inachanganya vizuri tu na huwezi jua kama gari inashida lkn pale speed inapokuwa chini ya 40 na rpm inakuwa katikati ya 1 na 2 ndo shida inaanzia hapo.
 
Hizi ndo zile gari namba DNM inauzwa mil 4.5 na maongezi yapo[emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Inategemeana na uwezo wako.! Kama hupigi service vizuri na unapiga route nyingi tu lazima Jasho la meno likutoke
 
Hizi ndo zile gari namba DNM inauzwa mil 4.5 na maongezi yapo😆😆😆
Huwa nawashangaa sana watu wanaokejeli wanunuzi wa magari used. Ukinunua jipya la kwako utamuuzia nani siku ukihitaji kuliuza kama wote wataachana na used? Maana Tz hatuna recycle. Mm nawaheshimu sana wanunuzi wa magari used.
 
Sijakejeli mkuu! Kama wewe ni unapota kwenye mitandao ya magari yanayouzwa yaliyoyumika nchini...ni rahisi kukuta Brevis namba mpya kabisa inauzwa bei chee sana nyingi mil 4....tofauti na aina nyingine kama spacio,ist ,runx nk
 
Ok boss. Hawa sio wa kukejeli maana mjapan akishatumia anatuuzia ss halafu bila wanunuzi wa ndani watu tungekaa milele mpaka kifo kiwatenganishe na magari maana ungelipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom