Naomba msaada gari yangu aina ya brevis nikiendesha inakuwa kama inajump rpm inapopanda kutoka 1 kwenda 2 lkn ikishafika mbili inachanganya vizuri tu na huwezi jua kama gari inashida lkn pale speed inapokuwa chini ya 40 na rpm inakuwa katikati ya 1 na 2 ndo shida inaanzia hapo.