Mission Report 16 12 61
Member
- Feb 10, 2023
- 6
- 12
Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
Hamu ya kuagiza gari unaona kusoma maelezo itapoteza muda.Kuna baadhi ya makampuni huwa wanasema kama hiyo gari ilikuwa inatumiwa na mvuta FEGI
Kuna gari used from japan, waliifungia dashbkard wakakuta ndani kwenye njia ya hewa muna vipisi vya sigara. Sijui wajapan walikuwa wanakula sigari vipisi wanatupa humoGari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
Fukiza na udi tu wala siyo gharama sana.
Weka kietezo chenye moto na uchome udi huku ukiwa umefungia madirisha ili harufu isitoke.
Jaribu mara mbili au tatu harufu yote itaondoka.
Nunua unga wa kahawa iliokaangwa na kusagwa , unaweza kupata kwenye magenge ya kahawa, uache mfuko wazi ndani ya gari , ndani ya siku 2 mambo safi kabisaGari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
kama umezoea mikojo ya mbuzi na ng'ombe kuwa ndiyo harufu nzuri basi endelea nayoInabaki harufu ya udi nayo ni karaha kwa watu wengi
kama umezoea mikojo ya mbuzi na ng'ombe kuwa ndiyo harufu nzuri basi endelea nayo
sasa huo ni uamuzi wako weweSigara na udi vyote vinanuka kwangu. I'd take harufu ya ng'ombe before sigara au udi.
Nunua ngozi ya ng'ombe uweke ndani ya gari utaenjoySigara na udi vyote vinanuka kwangu. I'd take harufu ya ng'ombe before sigara au udi.
Punguza ushamba.Sasa si upake mmaa**v