Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.

Nlishawahi kupata hii changamoto

Kiukweli kma ilikuwa ni ya smoker itabidi utoe seat zifuliwe kbs zianikwe ndo zirudishwe+manukato

Skuizi nkitaka kuagiza natafuta non-smoker
 
Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
Kuna gari used from japan, waliifungia dashbkard wakakuta ndani kwenye njia ya hewa muna vipisi vya sigara. Sijui wajapan walikuwa wanakula sigari vipisi wanatupa humo
 
Back
Top Bottom