Pole sana ndugu yangu.
Mkuu kitalamu zipo sababu nyingi sana zinazopelekea tatizo hili zikiwemo hizo ulizotaja. Lakini cha msingi hapa ilikuwa umpeleke kwanza akamwone daktari,atibiwe kwanza,ndio baadaye uje kuuliza sababu za tatizo hili. Huwezi kusema siku 10 kwa mtu anayebleed ni chache,hii siyo sawa. Lakini pia hata ukiingia google, kwa mfano, kuna majawabu mengi sana kwa hili sali lako. Utasoma mpaka utachoka.
Anyway,mpe pole sana sister.
Plse dawa ipo ya kienyeji serious mama yangu anaijua.mpe pole sana huyo dada yako japo mimi binafsi nina hilo tatizo tangu kuzaliwa kwangu hadi sasa nina miaka 25, nimewah kwenda kwa dokta hawa wa kawaida mwaka jana skasema ni ugonjwa wa kurith na hauna dawa, cha msingi nijitahidi ikitoka niizue ili isitoke nyingi sana. na pia mara nyingi inatoka nikiwa nimekaa juani muda mrefu au kama nikijigonga kwenye mishipa ya pua. kiufupi sijafanikiwa kupata tiba.