msaada wa kutoka damu

msaada wa kutoka damu

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
4,975
Reaction score
2,487
habari wana jf nilikuwa ninaomba ushauri au mwenye kujua tatizo la kutoka damu puani huwa linasababishwa na nini? nina dada yangu ana tatizo la kutoka damu puani ila hilo tatizo halijaanza muda mrefu sana ni kama siku ya kumi sasa..naombeni ushari wenu je? ni kukosa vitamini fulani mwilini au ni kwajili ya jua kali la dar es salaam?
 
Pole sana ndugu yangu.
Mkuu kitalamu zipo sababu nyingi sana zinazopelekea tatizo hili zikiwemo hizo ulizotaja. Lakini cha msingi hapa ilikuwa umpeleke kwanza akamwone daktari,atibiwe kwanza,ndio baadaye uje kuuliza sababu za tatizo hili. Huwezi kusema siku 10 kwa mtu anayebleed ni chache,hii siyo sawa. Lakini pia hata ukiingia google, kwa mfano, kuna majawabu mengi sana kwa hili sali lako. Utasoma mpaka utachoka.

Anyway,mpe pole sana sister.
 
asante kwa ushauri
 
mpe pole sana huyo dada yako japo mimi binafsi nina hilo tatizo tangu kuzaliwa kwangu hadi sasa nina miaka 25, nimewah kwenda kwa dokta hawa wa kawaida mwaka jana skasema ni ugonjwa wa kurith na hauna dawa, cha msingi nijitahidi ikitoka niizue ili isitoke nyingi sana. na pia mara nyingi inatoka nikiwa nimekaa juani muda mrefu au kama nikijigonga kwenye mishipa ya pua. kiufupi sijafanikiwa kupata tiba.
 
Sisi kule kwetu ukiwa unatokwa mara kwa mara na damu puani unachotakiwa kufanya unatafuta ule mfupa wenye tundu ambao walishakula nyama yake wakautupa mfano mfupa wa paja karibia na goti then damu inachuruzikia mle after that nakuhakikishia hutatokwa na damu tena, please just try that
 
mpole zake ila na shairi aanzie kwanza hospital ikishindikana kuna dawa nyingi sana za kiinyeji moja wapo kunamchangia mmoja ametoa hapo juu na pia tafuta limao/ndimu na chukua majani yake unayaponda ponda na muwekekee pamoja na maji ya linmauo/ndimu yake muwekee kwenye tundu linalotoa damu. Ya pili tafuta miiba ya nungu nungu siju kama ni kiswahi sanifu ila choma na umvukize kwenye pua, tatu tafuta mti mmoja unaitwa mnunungu kwa lugha ya kisukuma chukua mizizi yake isange maji yake awe anakunywa na kuweka puani kidogo kidogo. zaidi tuwasiliane maana nilikuwa na tatizo hili lilikuwa linanisumbua sana kwa miaka mingi lakini sasa nina zaidi ya miaka 15 sijawahitoka damu puani
 
mpe pole sana huyo dada yako japo mimi binafsi nina hilo tatizo tangu kuzaliwa kwangu hadi sasa nina miaka 25, nimewah kwenda kwa dokta hawa wa kawaida mwaka jana skasema ni ugonjwa wa kurith na hauna dawa, cha msingi nijitahidi ikitoka niizue ili isitoke nyingi sana. na pia mara nyingi inatoka nikiwa nimekaa juani muda mrefu au kama nikijigonga kwenye mishipa ya pua. kiufupi sijafanikiwa kupata tiba.
Plse dawa ipo ya kienyeji serious mama yangu anaijua.
 
Back
Top Bottom