kashesho
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 4,975
- 2,487
habari wana jf nilikuwa ninaomba ushauri au mwenye kujua tatizo la kutoka damu puani huwa linasababishwa na nini? nina dada yangu ana tatizo la kutoka damu puani ila hilo tatizo halijaanza muda mrefu sana ni kama siku ya kumi sasa..naombeni ushari wenu je? ni kukosa vitamini fulani mwilini au ni kwajili ya jua kali la dar es salaam?