Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa.

Asanteni
 
Nenda menu ya mpesa(Safaricom) baada ya hapo fuata maelekezo usijisumbue kuanza kubonyeza sijui Nyota reli huko hamna tafuta menu ya sim tool kwenye simu yako alafu utaona mpesa
 
Acha uzembe wewe Kuna watu wanalipwa kwa kazi hii waoigie simu wakuelekeze
 
Back
Top Bottom