Harrykany JF-Expert Member Joined May 10, 2019 Posts 619 Reaction score 668 Mar 22, 2022 #1 Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 3,876 Reaction score 7,118 Mar 22, 2022 #2 Kenolway said: Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni Click to expand... Piga simu huduma kwa Wateja utaelezwa
Kenolway said: Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni Click to expand... Piga simu huduma kwa Wateja utaelezwa
Street Hustler JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 2,175 Reaction score 4,299 Mar 22, 2022 #3 Nenda menu ya mpesa(Safaricom) baada ya hapo fuata maelekezo usijisumbue kuanza kubonyeza sijui Nyota reli huko hamna tafuta menu ya sim tool kwenye simu yako alafu utaona mpesa
Nenda menu ya mpesa(Safaricom) baada ya hapo fuata maelekezo usijisumbue kuanza kubonyeza sijui Nyota reli huko hamna tafuta menu ya sim tool kwenye simu yako alafu utaona mpesa
F35-Bomber JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 1,345 Reaction score 1,069 Mar 22, 2022 #4 Acha uzembe wewe Kuna watu wanalipwa kwa kazi hii waoigie simu wakuelekeze