Msaada wa Kuunganishwa na Kampuni yoyote ya Uchapishaji wa Vitabu

jonde

New Member
Joined
May 9, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno!

Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo.

Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na Usambazaji wa Vitabu sokoni ili Kusimama kama Mdhamini wa kazi zangu.

Kazi ya Mikono yangu ni Bora mno na ninatamani kufaidika na kipaji changu.

Napokea maoni yenu Wakuu
 
Umaweza Kuanza kupost mtandao ya kijamii na humu jf pia Kuna magroup ya waandishi na watunzi jiunge na majukwaa hayonwana taarifa tele
 
Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno!

Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo.

Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na Usambazaji wa Vitabu sokoni ili Kusimama kama Mdhamini wa kazi zangu.

Kazi ya Mikono yangu ni Bora mno na ninatamani kufaidika na kipaji changu.

Napokea maoni yenu Wakuu
Umewahi kusikia kuhusu Amazon KDP? Wanafanya printing on demand. Nicheki nikuelekeze. 0742308110
 
Back
Top Bottom