Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno!
Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo.
Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na Usambazaji wa Vitabu sokoni ili Kusimama kama Mdhamini wa kazi zangu.
Kazi ya Mikono yangu ni Bora mno na ninatamani kufaidika na kipaji changu.
Napokea maoni yenu Wakuu