Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Baada ya muda fulani niliiondoa memory card ghafla na nilipoirejesha taarifa zangu muhimu sikuweza kuziona tena.
Yaani tuchukulie mfano una laini ya simu umeitoa mara Moja uliopoona haijakaa vizuri alafu ukairejesha (Ghafla ndivyo nilivofanya kwenye memory card yangu)Una maana gani kusema uliiondoa ghafla?
Anyways, umejaribu kuiconnect kwenye laptop via card reader uone itadisplay nini?
Jaribu kutumia EaseUS software. Inaweza kukusaidia kurecover hivyo vitu.Yaani tuchukulie mfano una laini ya simu umeitoa mara Moja uliopoona haijakaa vizuri alafu ukairejesha (Ghafla ndivyo nilivofanya kwenye memory card yangu)
Kwenye card reader niliconnect inaonesha kuna space inavitu flani ila havionekani.
Na simu kwa sasa Kuna space ukiconnect na PC inaonekana Haipo kama GB 7 hivi from GB 32
Asante kwa mawazoJaribu kutumia EaseUS software. Inaweza kukusaidia kurecover hivyo vitu.
Imegoma hapooIrudishe kwenye simu, set kama internal ila usi format.
Pole, fromat then tumia recocery tool kwenye computer kurudisha data ulizofuta. kama ni picha na video chache tumia Recuva ni free na iko vizuri. Kama Data ni nyingi tumia Paid Software unaweza zipata cracked.Imegoma hapoo