Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

Simpleboylife

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2021
Posts
634
Reaction score
1,247
Wakuu! Natumaini mu wazima

Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.

Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata

Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"

Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist ili niweze kuzipakua

Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni
 
Kulikuwa na kanda hizo za redio zina collection za beats za kwaito from southafrica ile collection nimeitafuta mpaka leo sijaipata
 
Back
Top Bottom