Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

hivi mzee umeshtuka kwamba kuna kuna discovery td5 Zina mabody makubwa kuliko nyingine?sijui zitakuwa model gani zile?
 
hivi mzee umeshtuka kwamba kuna kuna discovery td5 Zina mabody makubwa kuliko nyingine?sijui zitakuwa model gani zile?

TD5 ziko version kama mbili hivi zinatofautina kwenye umbile. Na hata engine kuna hiyo ya 2 diesel,V8 ya petroleum na mengineyo.

Uko sahihi kabisa
 
changamoto ya CMS wanaanza kudumia gari kuanzia mwaka 2015 na kuendelea chini ya hapo hawatoi uduma
 
naomba uni

naomba uni PM namba yake ndugu

Mtafute huyu 0717281210........ wengi humuita Dr wa Landrover, yuko hapo maeneo ya Kisutu. Na ndie fundi wangu wa Landrover kwa issue za mechanical na hata umeme anaekijana wake. Atakufanyia kaz nzuri na huwa anapenda kutoa ushauri kwanza
 
asante sana kaka jamaaa yupo vizuri na anaijua land rover
 
asante sana kaka jamaaa yupo vizuri na anaijua land rover

Huyo ndie Landrover Dr. Alinijulisha pia kama ulimpigia ingawa hukumtajia jina. Hapa natumia majina yangu halisi kaka.

Karibu kwenye familia ya LR!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…