Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

Ingawa hujataja model ya LR D2 TD5 kuhusu spare zinapatikana kwa wingi Dar es salaam ila kama ujuavyo hakuna feki n OG bei imechangamka kidogo ila kwa sasa dunia n Kijiji unaagiza kwa bei nafuu tu hasa ukiwa na shop and ship account itakurahisishia...
hivi mzee umeshtuka kwamba kuna kuna discovery td5 Zina mabody makubwa kuliko nyingine?sijui zitakuwa model gani zile?
 
hivi mzee umeshtuka kwamba kuna kuna discovery td5 Zina mabody makubwa kuliko nyingine?sijui zitakuwa model gani zile?

TD5 ziko version kama mbili hivi zinatofautina kwenye umbile. Na hata engine kuna hiyo ya 2 diesel,V8 ya petroleum na mengineyo.

Uko sahihi kabisa
 
changamoto ya CMS wanaanza kudumia gari kuanzia mwaka 2015 na kuendelea chini ya hapo hawatoi uduma
 
naomba uni

naomba uni PM namba yake ndugu

Mtafute huyu 0717281210........ wengi humuita Dr wa Landrover, yuko hapo maeneo ya Kisutu. Na ndie fundi wangu wa Landrover kwa issue za mechanical na hata umeme anaekijana wake. Atakufanyia kaz nzuri na huwa anapenda kutoa ushauri kwanza
 
asante sana kaka jamaaa yupo vizuri na anaijua land rover
 
Back
Top Bottom