Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Yaani we jamaa bila kumtaja Magufuli Hauwezi ridhika. Magufuli kahusikaje hapo
 
Weka namba wadau walioguswa watakuchangia nauli ili usafiri katika hali salama.

Nenda dhehebu unaloabudu uonane na Kiongozi atajua namna ya kukusaidia

Fuata ushauri wa jamaa fulani aliyesema uende wanaposimama traffic ukiwa umejiandaa na Safar hutakosa msaada.

Nenda serikali ya mtaa ( ulizia ilipo) watakupa barua ya kutambua Shida yako , hiyo barua iwe na muhuri na namba ya simu ya Kiongozi then uiattach hapa tutakuchangia.

Chagua hapo Jambo mojawapo ufanye.
 
Pole Binti, wakati unasubiri msaada, nenda pale Phantom petrol station huwa yanapaki malori ya mizigo, hapo ndipo huwa yanaondokea, omba wale madreva unaweza kumpata msamaria akakusaidia ukarudi nyumbani.
 
Dandia malori, au uzungumze na matrafic wa pale Kahama stand, ni rahisi kukupost kwenye mabasi hata kama utakalia ndoo bora kufika
 
Kuna mtu anakutaarifu kwamba yuko njiani, anaelekea Dar, yuko shinyanga sasa hivi, weka namba ya simu tungekupigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…