kiazikitam
Member
- May 18, 2021
- 58
- 24
- Thread starter
- #41
Ahsante sanaPole binti. Usikate tamaa. Majaribu ni sehemu ya maisha. Utashinda. Jipe moyo. Mungu atamleta mtu mwema atakayekupa lift bila kutegemea malipo ya aina yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sanaPole binti. Usikate tamaa. Majaribu ni sehemu ya maisha. Utashinda. Jipe moyo. Mungu atamleta mtu mwema atakayekupa lift bila kutegemea malipo ya aina yoyote.
Sina pakuishiMie nakushauri uombe kazi hapo kahama kuna hoteli nyingi sana, utapata kazi.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nipo mtaa wa Miami Beach hukuPole sana dada. So kwa sasa upo wapi au umefulia kwa nani.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Bora usikomenti ndugu yanguAcha utapeli weka picha yako, namba ya simu na card ya nida.
KwakweliSawa KIAZKITAM..gusa unase[emoji848]
ShukraniUshapata lifti? Mi ndo napita kahama apa alafu chumainakesha mpaka kwao! Hujaweka mawasiliano yoyote, ukiwa serious useme wapo majembe nimewaacha masumbwe apo, lakini si private ni maroli. Sina uhakika kama watakesha kama mm au watalala njiani tofauti na hapo, tumia njia hii.
Nenda sehemu yoyote wanakosimama Trafki waeleze shida yako, ukiwa ushajiandaa na Safari, hitokosa gari. Ningekusaidia ila chuma inakibari siwezi kukusubiria, fanya hivyo nilivyokuelekeza utapata usafiri ki rahisi zaidi endapo utaomba hao wana usalama wakusaidie.
Nakupm kakaUshapata lifti? Mi ndo napita kahama apa alafu chumainakesha mpaka kwao! Hujaweka mawasiliano yoyote, ukiwa serious useme wapo majembe nimewaacha masumbwe apo, lakini si private ni maroli. Sina uhakika kama watakesha kama mm au watalala njiani tofauti na hapo, tumia njia hii.
Nenda sehemu yoyote wanakosimama Trafki waeleze shida yako, ukiwa ushajiandaa na Safari, hitokosa gari. Ningekusaidia ila chuma inakibari siwezi kukusubiria, fanya hivyo nilivyokuelekeza utapata usafiri ki rahisi zaidi endapo utaomba hao wana usalama wakusaidie.
Pm yako haifungukiUshapata lifti? Mi ndo napita kahama apa alafu chumainakesha mpaka kwao! Hujaweka mawasiliano yoyote, ukiwa serious useme wapo majembe nimewaacha masumbwe apo, lakini si private ni maroli. Sina uhakika kama watakesha kama mm au watalala njiani tofauti na hapo, tumia njia hii.
Nenda sehemu yoyote wanakosimama Trafki waeleze shida yako, ukiwa ushajiandaa na Safari, hitokosa gari. Ningekusaidia ila chuma inakibari siwezi kukusubiria, fanya hivyo nilivyokuelekeza utapata usafiri ki rahisi zaidi endapo utaomba hao wana usalama wakusaidie.
Nisaidie tafadhali...nakupmAseme wanaishi Dsm sehemu Gani? Kuna lift Za mpaka nyumbani mkuu
AminaShe can be subjected to all the evils of the world. Mwenyezi Mungu amnusuru
Anaweza asiamini Sana kutoa pesa maana nishaitwa tapeli Bora tu liftiMkuu wewe binadamu mwema si umtumie tu nauli ya bus arudi
Nashukuru SanaDaah, pole sana dada yangu
For sure I feel your pain
Ishawahi kunitokea
Nitashukuru Sana Kaka nakutumia pmNaomba namba yako nikutumie pesa walau 20K
Ahsante Sana kwa ushauri nduguWeka namba wadau walioguswa watakuchangia nauli ili usafiri katika hali salama.
Nenda dhehebu unaloabudu uonane na Kiongozi atajua namna ya kukusaidia
Fuata ushauri wa jamaa fulani aliyesema uende wanaposimama traffic ukiwa umejiandaa na Safar hutakosa msaada.
Nenda serikali ya mtaa ( ulizia ilipo) watakupa barua ya kutambua Shida yako , hiyo barua iwe na muhuri na namba ya simu ya Kiongozi then uiattach hapa tutakuchangia.
Chagua hapo Jambo mojawapo ufanye.
SawaNitashukuru Sana Kaka nakutumia pm
Hapana kuweka namba hadharan pia sio salama naomba nikutumie pmWeka namba yako hapa hapa nitakutumia japo hela ya kuendelea kuwasiliana maana bila mawasiliano utakwama zaidi
Ahsante SanaPole dada weka namba kama alivosema kada mwenzetu wa chadema Mana ma ccm hayana huruma yasije yakakuibia bule
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Ndo nahangaika lifti ndugu sijapata bado ya kwenda popoteAu omba lifti hadi Arusha ukifika hapa tunaondoka wote kwenda DAR.
Ni kweli kabisaPesa sio makalio aisee.
Yaani itumwe kirahisi hivyo kama kujamba!!
Nakutumia pmHahaha halafu mbona anakuja mgumu kutoa namba watu wamsaidie au sanaa
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app