Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Shukrani
 
Nakupm kaka
 
Pm yako haifunguki
 
Ahsante Sana kwa ushauri ndugu

Nitafanya hivyo pia
 
Au omba lifti hadi Arusha ukifika hapa tunaondoka wote kwenda DAR.
Ndo nahangaika lifti ndugu sijapata bado ya kwenda popote

Lifti nyingi Zina mashart magumu Sana najua ningekuwa aina ya wadda Fulani ningeshapata muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…