Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Pole Binti, wakati unasubiri msaada, nenda pale Phantom petrol station huwa yanapaki malori ya mizigo, hapo ndipo huwa yanaondokea, omba wale madreva unaweza kumpata msamaria akakusaidia ukarudi nyumbani.
Ahsante mm Ni mgeni kabisa huku hata hapo sikua napajua ngoja nifanye mchakato
 
Binafsi nitamtumia
 
Kama hujasafir njoo sheli ya Olympic ipo karibu na phantom hii nayo ni sehem ya majitoleo
 
Wanaume wengi wameingia kwenye matatizo ya kimaisha baada ya kuwashobokea mabinti.
Ushauri: Ni vyema tuwaache hawa wanawake wasaidiane wenyewe.
Saidia kwaajili ya Allah,jiulize wewe umemkosea mangapi kwa Allah lakini bado unapiga magoti unamuomba[emoji2969]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…