Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Waterbender

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
7,573
Reaction score
10,063
Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour.

Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
 
Mafuta ya nyonyo.....
Kuna jamaa alinunua hayo mafuta akaambiwa kua akijipaka nywele zitaota tena (ana kipara). Shida inakuja yana harufu mbaya hatari... huwez jipaka ukajimix na raia
 
Atafute kuza ile original ya India nahisi
 
Binafsi nimekuwa nikitumia DAX KOCATAH above everything else yana coconut oil na tar oil .Yanaondoa tatizo la mba na kutibu tatizo la dry scalp .
Pia weusi wake hufanya nywele zionekane nyeusi zaidi na zenye afya .
 
Mkuu mi nilikuwa na nywele kipilipili ila baada ya kuanza kutumia BLUE MAGIC ORIGINAL Indian hemp mambo ni mswano kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…