Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Mafuta ya nyonyo.....
Kuna jamaa alinunua hayo mafuta akaambiwa kua akijipaka nywele zitaota tena (ana kipara). Shida inakuja yana harufu mbaya hatari... huwez jipaka ukajimix na raia
 
Binafsi nimekuwa nikitumia DAX KOCATAH above everything else yana coconut oil na tar oil .Yanaondoa tatizo la mba na kutibu tatizo la dry scalp .
Pia weusi wake hufanya nywele zionekane nyeusi zaidi na zenye afya .
 
Mkuu mi nilikuwa na nywele kipilipili ila baada ya kuanza kutumia BLUE MAGIC ORIGINAL Indian hemp mambo ni mswano kabisa
 
Back
Top Bottom