Kwa hiyo hapa mkuu nadeal na msimamizi wa mirathi?Msimamizi wa mirathi ndiye mwenye mamlaka ya mali za marehemu kuzigawa kwa would be beneficialies! short of that, kesho itakuleta matatizo akitokea mtu kudai kiwanja hicho.
Sawa mkuuMi naona umtafute mwanasheria ili akupe mwongozo mzuri.
Mtu akisha kufa mali zake zinakuwa under probate and administration law, short of that chote utakachokifanya kabla ya mirathi ni batiliKwa hiyo hapa mkuu nadeal na msimamizi wa mirathi?
Hiki kiwanja kipo sehemu nzuri sana ngoja niendelee kufuatilia taratibu ambazo hazitoniletea shida baadae ikishindikana naachana nacho ila sitaki nikipotezeViwanja ambavyo n vya uridhi n vya kuachana navyo tuu ...migogoro yake haiishagi afu pia Vina usumbufu mwingi yan hautakua na Amani coz hapo ushasema ana watoto wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikio LA kufa halisikii dawa ,viwanja vipo vingi.Hiki kiwanja kipo sehemu nzuri sana ngoja niendelee kufuatilia taratibu ambazo hazitoniletea shida baadae ikishindikana naachana nacho ila sitaki nikipoteze
Uyo badala ale bia eti anakimbilia kununua viwanja akitapeliwa je? Ale bia tuuWewe kiwanja cha nini njoo hukuView attachment 2318988
Wote wapo, na kimepimwaHiko kiwanja lazima ujue kama kimepimwa au laa... Kina hati au kimewah kuombewa hati... Kina barua ya offer au laa... Kinamilikiwa kwa documents zipi hasa... All in all lazima umhusishe mwanasheria, lazima watoto wake na msimamizi wa mirathi wahusishwe ktk uuzaji ili kesho wasije kukugeuka...
Hapo akimbie hata asigeuke nyuma.Viwanja ambavyo n vya uridhi n vya kuachana navyo tuu ...migogoro yake haiishagi afu pia Vina usumbufu mwingi yan hautakua na Amani coz hapo ushasema ana watoto wengi
Sent using Jamii Forums mobile app