Msaada wa matibabu ya STD

Wameniambia hamna shida yeyote katika mkojo
Kama ni kweli hiki ulisemalo usiende tena hiyo hospital hakuna Dr hapo Bali mganga wa kienyeji labda kama unatudangaya.
 
Pima maambukizi ya virusi UKIMWI maana maradhi ya zinaa na Ukimwi ni sawa na mjomba na Shangazi wote ni ndugu mmoja
 
Mtoa mada nenda hospital nyingine humu ndani Kuna ma bush Drs wengi Kila mtu anatema matango pori yake utakuchukua na kuacha ya nani? Unapoelekea utakuja kukojoa dagaa.
 
Pole sana si ungeeenda hospitali????

Usimuamini kwa kumuangalia tu!

Jali afya yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…