Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB" inasaidia. Nimesearch inaonekana very very expensive.
Shida yangu ni kuwa is it effective? Nikitoa Sat 3.8M will it meet the needed results?
Asanteni.