- Thread starter
- #41
huyo naleta kejeli, achana naye! dronedrakeHivi hamsomagi comments zilizotangulia? kashapima na hana, sasa apime ngoma ipi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo naleta kejeli, achana naye! dronedrakeHivi hamsomagi comments zilizotangulia? kashapima na hana, sasa apime ngoma ipi tena?
asante yote tutayafanyaPole sana mkuu. Jaribuni kila mnalofikiri linaweza kumsaidia mgonjwa, IKISHINDIKANA basi kuna njia moja tu ambayo haina kufeli kamwe. Bwana wa majeshi ndiye mponyaji, yeye ndiye aliyemuumba nayeye ndiye afanyaye ya kale kuwa mapya.
Tunanyenyekea mbele zake tukiamini yeye yupo
Nilikwenda wakasema hawapo . mmoja umu akanambia kuwa wako SUA. SUA hawapo nikaelekezwa kuwa wako Mlinami City. Nikaenda, lakini wale ni watu wa lishe na si madaktari. Naomba maelezo ni hao watu wa lishe au ni MDs?Fanya hivi nenda pale azania front kanisani dar es salaam . Kuna dispensari madaktari wake wa magonjwa ya ngozi nj wazuri. Kuna mgonjwa wangu ilimsumbua sana ugonjwa wa aina hiyo. Kama hawapo tena pale waulize wakuelekezd walipo kwa sasa.
Uliahidi kunisaidia huo mmea, tafadhali niambie ni upi? please and pleaseKuna mmea mmoja sijui unaitwaje, ila kuna binti mmoja alisumbuka sana ulimsaidia nadhani ndani ya wiki mbili ilipotea kabisaa!! Ni kama miaka 5 sasa vipele havijarudi!! Ngoja niutafute nikupigie picha
asante kwa ushauri. inapatikana wapi? hapa nchini ipo maana kama ni monoclonal antibodies hapa hakuna....Mtafutie methotrexate huyo anashida kwenye immune system
Cheki pharmacy kubwa kubwa zile za kariakoo na postal unaweza pata hukoasante kwa ushauri. inapatikana wapi? hapa nchini ipo maana kama ni monoclonal antibodies hapa hakuna....
asante sana.Cheki pharmacy kubwa kubwa zile za kariakoo na postal unaweza pata huko
Mrejesho:Huwa kuna active na remission phases. Ukipata watu husika pale juu watakuelezea vyema kuhusu tatizo, tiba na kupunguza stress ambazo wakati mwingize zinaweza kuchangiwa na kutokuwa na ufahamu mpana wa nini kinaendelea kwa ndugu yetu.
Ni tatizo linalokuja vs kupotea/kupona na kujirudia. Hivyo, tiba inakuwa inaendana na hali halisi.
Mrejesho:
My sister has passed away! Tunamshukuru Mungu kwa yote. RIP my Sister!
Mrejesho:
My sister has passed away! Tunamshukuru Mungu kwa yote. RIP my Sister!
ASANTEPoleni sana, apumzike kwa amani. Amina
ASANTEPoleni sana kwa msiba.