Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ndugu yangu!Pole sana kuuguza
Kwali tulikwenda hospital wakasema antibiotic siyo tiba sahihi mziache. sasa ndugu yangu tusaidie tutumie dawa gani. Dawa za presha anameza vile vile, hapo tunafanyaje ku control presha bila dawa! Telimisatan,
No, hilo hana by 100%
Soma hapa halafu mpigie namba hizo atakushauri.Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB" inasaidia. Nimesearch inaonekana very very expensive.
Shida yangu ni kuwa is it effective? Nikitoa Sat 3.8M will it meet the needed results?
Asanteni.
View attachment 2443125
Hizo hela nyingi sana mkuu na hio dawa inaweza isikusaidie. Mtafute huyo Dr Ben atakushauri. Inawezekana hata usirumie dawa.Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB" inasaidia. Nimesearch inaonekana very very expensive.
Shida yangu ni kuwa is it effective? Nikitoa Sat 3.8M will it meet the needed results?
Asanteni.
View attachment 2443125
Hao madaktari hawapo. Siku hizi wamehamia SUA. Kuna namba nimempa ya mmoja wao. Kupitia hio anaweza kujua atawapatajeFanya hivi nenda pale azania front kanisani dar es salaam . Kuna dispensari madaktari wake wa magonjwa ya ngozi nj wazuri. Kuna mgonjwa wangu ilimsumbua sana ugonjwa wa aina hiyo. Kama hawapo tena pale waulize wakuelekezd walipo kwa sasa.
asante kwa melekezo. hospital yake iko wapi?Dr Ben
asate sana.Hao madaktari hawapo. Siku hizi wamehamia SUA. Kuna namba nimempa ya mmoja wao. Kupitia hio anaweza kujua atawapataje
for sure, 100% hana tatizo hilo.pole yake, akapime ngoma
Hizi anazitumia kwenye pressure.(Losartan/Telmisartan,
asante kwa ushauri.Habari,
1: Pamoja na kutumia immune moderator kama Methotraxate mfano, bado atahitaji antibiotics ili kutibia au kuzuia further infections. Ngozi ikishapata ufa ni dhahili huwezi kukwepa shambulio la bakteria kwa njinsi ilivyo hapo. Dawa hizo zisihusishe zenye kuzidisha tatizo husika.
2: Dawa za presha ataendelea kutumia ila zisiwe miongoni mwa zenye kuleta madhila zaidi kuhusiana na tatizo .
Inawezekana tatizo likawa linazidishwa na vitu kama hivyo hapo juu.
Taarifa kama hizi ni rahisi kwa watu wa afya kuzifanyia kazi kwako itakuwa ni too much information.
NB: Regular use of certain medications: Chelating agents, such as penicillamine, ACE inhibitors(Losartan/Telmisartan, Nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs), such as aspirin can worsen the symptoms.
habari. Naomba nikukumbushe kunipigia picha huo mmeaKuna mmea mmoja sijui unaitwaje, ila kuna binti mmoja alisumbuka sana ulimsaidia nadhani ndani ya wiki mbili ilipotea kabisaa!! Ni kama miaka 5 sasa vipele havijarudi!! Ngoja niutafute nikupigie picha
Yap, anaweza kupewa mbadala wake kulingana na presha yake na factors nyingine.Hizi anazitumia kwenye pressure.
Hivi hamsomagi comments zilizotangulia? kashapima na hana, sasa apime ngoma ipi tena?pole yake, akapime ngoma
Utaje na bei ili watu waelewe vizuriSoma hapa halafu mpigie namba hizo atakushauri.
Kama unaumwa ugonjwa wowote na umetumia dawa za hospitalini au miti shamba au virutubisho tiba na hujapona bado kuna tumaini.
Ukiona umepita kote huko na iinakua heri ya jana ujue tatizo haliko kwa dawa ulizotumia.
Tatizo lipo kwako mwenyewe. Ndani ya mwlii wako kuna kitu kinaitwa seli shina. Kazi ya hizo seli ni kuuwezesha mwili ujitibu wenyewe au kusaidia dawa unazotumia ili zikutibu.
Endapo hizi seli zako zikiwa zimekufa au kupoteza uwezo inakua ngumu sana kupona au kutibika kwa dawa yyte ile.
Kwa hio kitu ambacho wataalamu na madaktari wa uswis waligundua miaka ya hivi karibuni ni kumrudishia mgonjwa seli zake na kurekebisha zile zilizoharibika kwa matumizi ya stemcell therapy.
Seli za mwili huweza kuharibika kwa sababu nyingi. Umri mkubwa, maradhi mbalimbali, matumizi holela ya dawa, sumu ya vyakula tunavyakula maji na vinywaji, kutokuwa na tabia ya kufanya mazoezi, kuzalia n.k.
Stemcell therapy ni seli shina za mwili, zilizochakatwa kisayansi kutoka kwenye mimea na matunda yenye seli zinazofanana na za mwandamu.
Mgonjwa akitumia seli hizi kwa mzunguko wa siku 21 au 42 na 63. Zinauwezesha mwili kurudisha uwezo wake wa kiasili ambao utamsaidia kuondoa maradhi yote ndani na kuoambana na aina yyte ya magonjwa sugu. Hivyo kumsaodoa mgonjwa kupona kwa wepesi hata akitumia dawa dhaifu.
Stemcells therapy inahusika moja kwa moja au kwa kutumia dawa za kawaida kutibu zaidi ya magonjwa 200 yakiwepo haya kwenye picha.
Kwa maelezo zaidi mpigie dkt Ben Soy wa kitengo cha utafiti na tiba SUA 0719794789 au 0699254400.