Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

Pole sana mkuu. Jaribuni kila mnalofikiri linaweza kumsaidia mgonjwa, IKISHINDIKANA basi kuna njia moja tu ambayo haina kufeli kamwe. Bwana wa majeshi ndiye mponyaji, yeye ndiye aliyemuumba nayeye ndiye afanyaye ya kale kuwa mapya.

Tunanyenyekea mbele zake tukiamini yeye yupo
asante yote tutayafanya
 
Fanya hivi nenda pale azania front kanisani dar es salaam . Kuna dispensari madaktari wake wa magonjwa ya ngozi nj wazuri. Kuna mgonjwa wangu ilimsumbua sana ugonjwa wa aina hiyo. Kama hawapo tena pale waulize wakuelekezd walipo kwa sasa.
Nilikwenda wakasema hawapo . mmoja umu akanambia kuwa wako SUA. SUA hawapo nikaelekezwa kuwa wako Mlinami City. Nikaenda, lakini wale ni watu wa lishe na si madaktari. Naomba maelezo ni hao watu wa lishe au ni MDs?
 
Kuna mmea mmoja sijui unaitwaje, ila kuna binti mmoja alisumbuka sana ulimsaidia nadhani ndani ya wiki mbili ilipotea kabisaa!! Ni kama miaka 5 sasa vipele havijarudi!! Ngoja niutafute nikupigie picha
Uliahidi kunisaidia huo mmea, tafadhali niambie ni upi? please and please
 
Huwa kuna active na remission phases. Ukipata watu husika pale juu watakuelezea vyema kuhusu tatizo, tiba na kupunguza stress ambazo wakati mwingize zinaweza kuchangiwa na kutokuwa na ufahamu mpana wa nini kinaendelea kwa ndugu yetu.

Ni tatizo linalokuja vs kupotea/kupona na kujirudia. Hivyo, tiba inakuwa inaendana na hali halisi.
Mrejesho:
My sister has passed away! Tunamshukuru Mungu kwa yote. RIP my Sister!
 
Back
Top Bottom