Msaada wa matibabu

Msaada wa matibabu

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Mwenye ufahamu wa dawa ya mitishimba kama tiba ya maumivu chini ya mgongo.
 
Chanzo ni nini?
Ulichezesha sana kiuno?
Fanya mazoezi ya kukatika mifupa ikae sawa
 
Ulipata ajali?
Uliumia kwa kazi ngumu?
Maumivu yamekuja yenyewe?
Ulifanya kazi ya kukaa masaa mengi?
 
Piga chai kali ya tangawizi, mdalasini na mchaichi kwa pamoja , pia fanya mazoezi ya viungo ( yoga).
 
je, ni tatizo la Mgongo linaloendana na miguu kuuma mpaka kushindwa kutembea?
 
1. Mishipa ya fahamu kubana (Herniated Disc) - Hali ambapo diski za uti wa mgongo zinatoka kwenye nafasi zao, na kubana mishipa ya fahamu, husababisha maumivu makali.
 
2. Mkao mbaya - Kukaa, kusimama, au kulala vibaya kwa muda mrefu au kukalilia Wallet iliyojaa sana kunaweza kusababisha maumivu ya mgongo wa chini.
 
1. Mishipa ya fahamu kubana (Herniated Disc) - Hali ambapo diski za uti wa mgongo zinatoka kwenye nafasi zao, na kubana mishipa ya fahamu, husababisha maumivu makali.
Weka tiba
 
1. Mishipa ya fahamu kubana (Herniated Disc) - Hali ambapo diski za uti wa mgongo zinatoka kwenye nafasi zao, na kubana mishipa ya fahamu, husababisha maumivu makali.
Hiyo dawa ya Kienyeji ipo. Unapona
 
Hiyo dawa ya Kienyeji ipo. Unapona
Na mimi nimemwambia ani PM ili nimpe namba akapate tiba, kuna mtu humu humu katibiwa Kansa na anaendelea kupona na mwingine HIV baada ya mwezi kaambiwa akapime
 
Weka tiba
Tukupe namba umpigie
Na mimi nimemwambia ani PM ili nimpe namba akapate tiba, kuna mtu humu humu katibiwa Kansa na anaendelea kupona na mwingine HIV baada ya mwezi kaambiwa akapime
mimi namfahamu ni mtawa wa kikatoliki ameponyesha wengi wanaoumwa hizo pingili. Mengine sijui. Sijui kama ni halali kuweka namba hapa au anayetaka nimtumie PM
 
Back
Top Bottom