Si vibaya akienda kujihusisha na kilimo cz kilimo ndo Uti wa mgongo wa taifaa Ndo huwa wanasema hivyo
Mkuu nashauri arisiti
tena ili apate angalu D nyingine 2 ili ziwe 5 zitakazomwezesha kuwa
qualified kusoma Diploma ktk vyuo vyetu vya bongo
Huyo kwa mwaka huu ataenda form 5 aende HGKsasa wakuu mdogo wang ana D 3 ya eng,geo na civ ana C 1 ya histry na B ya kisw mi namshauri arudie ili apate crdt ya kumwezesha kufanya mtihan wa six,ushauri wenu pls.