Msaada wa Mawazo Jamani wana Elimu

Msaada wa Mawazo Jamani wana Elimu

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari jamvini.

nina mdogo wangu amabe matokeo mapya yametoka ni mmoja wao lakini matokeo yametoka ana Div 4 point 32 na ana D 3 alikuwa anasoma Art kiukweli Mdogo wangu Sijui nimsaidie vipi wadau pengine kwa Point hizo anaweza pata chuo na kozi gani ya Kusoma!

Nisaidieni Mawazo!!
 
Mkuu hizo points na division haviendani,jaribu kuweka mambo sawa kwanza ili wenye ideas wazitoe accordingly
 
Hapo aende MGAMBO tu ndo kunamfaa. Wewe unakaaje shule miaka 4 halafu unapata Div 4:32?
 
Si vibaya akienda kujihusisha na kilimo cz kilimo ndo Uti wa mgongo wa taifaa Ndo huwa wanasema hivyo
 
Yaani baada ya kuajdust kaambulia hiyo? Hela ya shule ungempa mtaji aende china akalete mabangili na hereni auze.

Atatajirika kukuzidi.
 
Mkuu nashauri arisiti tena ili apate angalu D nyingine 2 ili ziwe 5 zitakazomwezesha kuwa qualified kusoma Diploma ktk vyuo vyetu vya bongo
 
Mkuu nashauri arisiti
tena ili apate angalu D nyingine 2 ili ziwe 5 zitakazomwezesha kuwa
qualified kusoma Diploma ktk vyuo vyetu vya bongo

sasa wakuu mdogo wang ana D 3 ya eng,geo na civ ana C 1 ya histry na B ya kisw mi namshauri arudie ili apate crdt ya kumwezesha kufanya mtihan wa six,ushauri wenu pls.
 
sasa wakuu mdogo wang ana D 3 ya eng,geo na civ ana C 1 ya histry na B ya kisw mi namshauri arudie ili apate crdt ya kumwezesha kufanya mtihan wa six,ushauri wenu pls.
Huyo kwa mwaka huu ataenda form 5 aende HGK
 
Back
Top Bottom