Msaada wa mawazo juu ya bati za kampuni ya ANDO

Msaada wa mawazo juu ya bati za kampuni ya ANDO

venossah

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2016
Posts
2,583
Reaction score
3,684
Habari za wakati huu wakuu

Kwa waliowahi kutumia au wanaojua juu ya mabati tajwa hapo juu. Vipi kuhusu ubora hasa kwa upande wa kupauka

Natanguliza shukrani.
 
ANDO hao jamaa bidhaa zao n nzur kabisa, naongea kitu ambacho nakijua na nishawah kufanya nao kaz kam mwajiriwa wao
Hutojuta kutumia bidhaa zao trust me
Kam upo Dar au dom naweza taj eneo ambalo lina bat yao kisha ukaulize wew zina muda gan hap juu
 
"Aisifuye mvua imemnyea" . Mimi hao ANDO siwajui ila ninawajua ALAF. Naweza kuthibitisha bila shaka ubora wa mabati ya ALAF ni wa kiwango cha juu sana kwa hapa TZ. Miaka 5 sasa bati linang'aa kama limeezekwa jana.
 
Kama uwezo upo, nenda ALAF, lakini iwe Kwa wakala wa kueleweka. Hiyo ni Kwa uzoefu wangu. ANDO nasikia ni wazuri ila sijawahi fuatilia ubora wa bati zao.
 
Ando ni wazuri ila bei yao mhhhhhhhh......
 
ANDO hao jamaa bidhaa zao n nzur kabisa, naongea kitu ambacho nakijua na nishawah kufanya nao kaz kam mwajiriwa wao
Hutojuta kutumia bidhaa zao trust me
Kam upo Dar au dom naweza taj eneo ambalo lina bat yao kisha ukaulize wew zina muda gan hap juu
Mkuu bando ni bei gani kwa sasa
 
"Aisifuye mvua imemnyea" . Mimi hao ANDO siwajui ila ninawajua ALAF. Naweza kuthibitisha bila shaka ubora wa mabati ya ALAF ni wa kiwango cha juu sana kwa hapa TZ. Miaka 5 sasa bati linang'aa kama limeezekwa jana.
Na pess pia ulitoa nyingi

Nyie watu bwana hata huko kulinganisha bidhaa hamjui.

Huwezi kulimgamisha Nyama ya Kuku na Supu ya maharage.

Kama kulinganisha basi tulinganishe maharage kwa maharage au nyama kwa nyama. These are comparable.

Bati zote zina viwango na standards zinazokubalika kitaifa a kimataifa hadi kimazingira na usalama wa binadamu.

Hayo mengine ni ziada tu na inategemeana na pesa yako.

TBS wanazikubali
 
Uwezo tena? Bei ya ANDO ni kubwa kuliko ya ALAF

Ahsante Kwa kunijuza Hilo mkuu. Siku zote nimekua nilijua ALAF ni Bora kulinganisha na hao wengine. Wakati nnaezeka Bei za ALAF zilikya juu kuliko ANDO. Uzuri Kwa hichi kipindi Cha miaka minne, sijawahi kujutia maamuzi ya uchaguzi wa bati za ALAF.
 
ANDO hao jamaa bidhaa zao n nzur kabisa, naongea kitu ambacho nakijua na nishawah kufanya nao kaz kam mwajiriwa wao
Hutojuta kutumia bidhaa zao trust me
Kam upo Dar au dom naweza taj eneo ambalo lina bat yao kisha ukaulize wew zina muda gan hap juu
Hao ANDO wapo eneo gani kwa Dodoma ?
 
Back
Top Bottom