Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona entry level DSLR ambazo hazizidi dola 450 hivyo Naamini hata ikiwa used mwaka 1 kwa bei hiyo(850k) naweza bahatika hapa bongo .

Ni kwa kuanzia tuu mkuu mambo yakikaa vyema nitachukua camera nzuri na ya kisasa zaidi.
Nakushauri utafute Camera ya Canon 60d ipo around dola 850- 900 , used kibongobongo unaweza kupata kwa ml 1. Hutajutia kua na camera hii kwa kuanzia lakini.
 
Wakuu habari zenu,
Nimeamua kudaka fursa ya kupiga picha za kisasa ambazo zimepata umaarufu mkubwa hasa kutokana na wimbi la ongezeko kubwa la matumizi ya mitandao ya kijamii na maendeleo ya teknolojia.

Nimenunua nyenzo kadhaa za kazi yangu tarajiwa kama vile computer kwa ajili ya photo editing na bajeti ipo kwa ajili ya vifaa vinginevyo.
Kwa wataalamu na wazoefu wa kazi hizo humu ndani, naomba msaada wa ushauri ninunue camera gani ambayo itafaa zaidi kwa bajeti ya laki 8 na nusu [iwe ni DSLR] kwa ajili ya upigaji picha.

Pia naomba kufahamishwa program nzuri za photoshop za kutumia kwa ajili ya photo editing. Na Kama kuna mtu anauza DSLR camera nzuri na kwa bei tajwa hapo juu tunaweza kufanya biashara.
Natanguliza ahsante kwa michango yenu.
NB: mimi sio pro photographer, bado najifunza...

Jipange uje na 1milion na laki tano ni kuuzie canon 700D DSLR +lens+ Memory 32GB+Triple stand+Camera bag. na ushauri wa editing software nakupa pia.
 
Wakuu habari zenu,
Nimeamua kudaka fursa ya kupiga picha za kisasa ambazo zimepata umaarufu mkubwa hasa kutokana na wimbi la ongezeko kubwa la matumizi ya mitandao ya kijamii na maendeleo ya teknolojia.

Nimenunua nyenzo kadhaa za kazi yangu tarajiwa kama vile computer kwa ajili ya photo editing na bajeti ipo kwa ajili ya vifaa vinginevyo.
Kwa wataalamu na wazoefu wa kazi hizo humu ndani, naomba msaada wa ushauri ninunue camera gani ambayo itafaa zaidi kwa bajeti ya laki 8 na nusu [iwe ni DSLR] kwa ajili ya upigaji picha.

Pia naomba kufahamishwa program nzuri za photoshop za kutumia kwa ajili ya photo editing. Na Kama kuna mtu anauza DSLR camera nzuri na kwa bei tajwa hapo juu tunaweza kufanya biashara.
Natanguliza ahsante kwa michango yenu.
NB: mimi sio pro photographer, bado najifunza...
Mkuu, kwanza kabisa kwenye suala zima la Professional Photography hautaji camera gear ya bei ghali sana lakini nakusihi uongeze budget yako kidogo. Ningekushauri upate Canon t5i pia inajulikana kama 700D kwa soko la Middle East and Africa. Camera hii itakua mwanzo mzuri sana kwenye career yako ya pro photography.
Kwa bahati mbaya watu wengi huwa wanadhani kuwa kamera ndiyo kila kitu, lakini ni muhimu sana kuwekeza kwenye lens za camera kwa maana ata ungetumia Cannon t3i ($300) ya mwaka 2011 na lens kama EF 16-35mm f/4L IS USM ya mwaka 2015\16 utapata matokeo mazuri sawa na yale ambayo ungeyapata kwenye Canon t6i ($749) ya mwaka 2015.
Hivyo basi kama kweli una nia ya kufanya Professional Photography kwa budget ndogo anza na hizi;-
Camera: Canon t5i/700D(new$600) (used$450)
Lens: Canon 50mm f1.8 kwa ajili ya portraits($100)
Canon EF 70-300mm USM kwa ajili ya tele shots
Canon EF-S 18-55mm f/3.5-5.6 IS STM hii inakuja na kamera(kit lens)
Usisahau accessories ndogo ndogo kama memory card za speed nzuri Transcend /Sandisk Class kuanzia 16Gb, lens hood na lens caps.
Tripod nayo ni muhimu na unaweza kuanza na hizi za kawaida kama Power 535 ($50)

Kwa upande wa software anza na Adobe Lightroom and Adobe Photoshop zitakufaa sana.
Muhimu ni kutokukata tamaa au kujivunja moyo kwa kufananisha kazi zako na zile za pros kama Albert Manifester(TZ), Aaron Nace(US), Sergei Rameli(FRANCE/US) au Kevin Buo(Kenya) jifunze kutoka kwao ila usijaribu kuwa kama wao.
 
Ahsante kwa ushauri muruwa mkuu, Nitajitahidi kuwa bora kwa namna yangu binafsi. Ubarikiwe.
 
wabongo wengi hawana ufahamu sana na DSLR zipo kupatana bei hizo japo hutapata mpya kabisa na model ya karibuni ila utapata. kuwa makini na hao jamaa ambao hawana namba za Tz ni matapeli,

search keyword hizi dslr, nikon, canon, utazipata tu

pia angalia uwezekano wa kuagizishia nje kwa budget hio unapata dslr nzuri tu, zipo za around dola 400
DSLR ni nini?
 
DSLR ni nini?
DSLR camera ni
D-Digital
S-Single
L-lens
R-Reflex Camera

ni camera ambazo zinatumia lens moja na kuakisi mwanga kwa nyuzi 45 ambayo husaidia kile unachokiona kwenye camera ndio hicho hicho utakachokipata ukipiga picha

sifa ya hizi camera ni
-zina sensor kubwa zinazotoa picha nzuri
-lens zake zinabadilishika, unachomoa na kuchomeka nyengine
-hazichelewi kupiga picha ukibonyeza tu button ya kupigia picha hapo hapo nayo inapiga
-unachokiona kwenye lens ndio hicho hicho utakachokipata kwenye picha unayopiga

sima zaidi hapa
Beginners Photography: What does DSLR stand for?
 
Watu wachoyo wa maarifa.. Ndio kusema jamii forums nzima hamna anaefanya biashara ya kupiga picha!??
 
Habarini wakuu,
kwa muda mrefu kidogo nimefikiria kuanza biashara tajwa hapo juu.
ninachoomba kusaidiwa ni

  1. Kamera gani nzuri ambazo zinaweza kuwa nzuri kwa waanzaji.
  2. Tofatuti na kamera kifaa/vifaaa gani vinahitajika kwa ajili ya kuanzia.
  3. Zipi sifa za kipekee, kufanikiwa katika bishara hii?
Nawasilisha.
 
Do kusema kweli kwa hali ya sasa kaka sikushauri ufaye hiyo biashara, naifananisha na biashara ya internate cafee wakati huu kila mtu ana smart phone na MB, Nni kwamba watu wengi hawapigi picha kama miaka ya nyuma kwa kua kila mtu ana access ya kamera, ni mawazo yangu
 
siku hizi kuna internet mkuu.. itumie vizuri majibu ya kila swali yapo hukooooo
 
Habarini wakuu,
kwa muda mrefu kidogo nimefikiria kuanza biashara tajwa hapo juu.
ninachoomba kusaidiwa ni

  1. Kamera gani nzuri ambazo zinaweza kuwa nzuri kwa waanzaji.
  2. Tofatuti na kamera kifaa/vifaaa gani vinahitajika kwa ajili ya kuanzia.
  3. Zipi sifa za kipekee, kufanikiwa katika bishara hii?
Nawasilisha.
Kama upo tutafutane nikuelekeze mkuu
 
Kama upo tutafutane nikuelekeze mkuu
Unaonaje ukatoa mawazo yako hapa kwa faida ya wengi wengine watapata pia wazo kupitia wewe.

Ombi usikimbilie pm kama ingewezekana basi usingechangia hapa na ungemfuata pm huko huko
 
Samahan mkuu, sikujua kama kuna watu wengine pia wanauhitaji wa mawazo yangu, sorry kama umekwazika pia[emoji120]
 
Back
Top Bottom