Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

Samahan mkuu, sikujua kama kuna watu wengine pia wanauhitaji wa mawazo yangu, sorry kama umekwazika pia[emoji120]
Sijakwazika ila ushirikishanaji ndio unaohitajika
 
Wakuu mambo vipi? Mimi nina mtaji wa mil 3 nataka nfanye photoshoot video shoot. Naombeni mwongozo wenu wadau. Mwenye experience na hii business. Karibu. Vifaa gani vya muhimu vinavyohitajka kw mwanzoni.

Pia kama kuna idea nyingine ya biashara nipeni wakuu.
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
 
Wana JF;
Sisi tuna-own Kampuni inayojshughulisha na Secretarial Services, Printing (Cards, Posters, Business Cards, Invitation Cards, Fliers etc). Tunazamia ku-expand business ili tufungue small Photo studio yenye uwezo ku kupiga passport sizes na picha nyinginezo pamoja na kusafisha (Digital Printing Services) kwa muda mfupi (Express Services)

Kama kuna mtu mwenye ujuzi/ufahamu kuhusu mashine nzuri za kudevelop na kuprint photos anipe specifications na kama inawezekana namna gani naweza kuzipata!

Kuna aliyenieleza kuhusu KODAK PHOTO KIOSK, lakini siifahamu na sijui inafanyaje kazi, kwa maana hiyo nahitaji ushauri mashine hizi (na nyinginezo) na pia kwa ujumla ni ipi muhimu kuanza nayo kwa small- medium size business.
Mwenye ideas ini-PM au anijibu kwenye post hii. Nakaribisha pia mtu mwenye nia ya kufanya biashara hii kwa UBIA
Ahsanteni

SIMILAR CASES
===============

============================================================

MAWAZO MBALIMBALI YA WADAU
Nimepata kitu hapa Mungu akubariki.kama una mengine ya muhimu tunaomba plse
 
Wakuu habari zenu,
Nimeamua kudaka fursa ya kupiga picha za kisasa ambazo zimepata umaarufu mkubwa hasa kutokana na wimbi la ongezeko kubwa la matumizi ya mitandao ya kijamii na maendeleo ya teknolojia.

Nimenunua nyenzo kadhaa za kazi yangu tarajiwa kama vile computer kwa ajili ya photo editing na bajeti ipo kwa ajili ya vifaa vinginevyo.
Kwa wataalamu na wazoefu wa kazi hizo humu ndani, naomba msaada wa ushauri ninunue camera gani ambayo itafaa zaidi kwa bajeti ya laki 8 na nusu [iwe ni DSLR] kwa ajili ya upigaji picha.

Pia naomba kufahamishwa program nzuri za photoshop za kutumia kwa ajili ya photo editing. Na Kama kuna mtu anauza DSLR camera nzuri na kwa bei tajwa hapo juu tunaweza kufanya biashara.
Natanguliza ahsante kwa michango yenu.
NB: mimi sio pro photographer, bado najifunza...
Nasubiri ujibiwe mkuu
 
Ume
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
Umetisha mkuu.me nataka nibase kwenye masherehe na photoshot camera ipi inafaa
 
Mkuu, kwanza kabisa kwenye suala zima la Professional Photography hautaji camera gear ya bei ghali sana lakini nakusihi uongeze budget yako kidogo. Ningekushauri upate Canon t5i pia inajulikana kama 700D kwa soko la Middle East and Africa. Camera hii itakua mwanzo mzuri sana kwenye career yako ya pro photography.
Kwa bahati mbaya watu wengi huwa wanadhani kuwa kamera ndiyo kila kitu, lakini ni muhimu sana kuwekeza kwenye lens za camera kwa maana ata ungetumia Cannon t3i ($300) ya mwaka 2011 na lens kama EF 16-35mm f/4L IS USM ya mwaka 2015\16 utapata matokeo mazuri sawa na yale ambayo ungeyapata kwenye Canon t6i ($749) ya mwaka 2015.
Hivyo basi kama kweli una nia ya kufanya Professional Photography kwa budget ndogo anza na hizi;-
Camera: Canon t5i/700D(new$600) (used$450)
Lens: Canon 50mm f1.8 kwa ajili ya portraits($100)
Canon EF 70-300mm USM kwa ajili ya tele shots
Canon EF-S 18-55mm f/3.5-5.6 IS STM hii inakuja na kamera(kit lens)
Usisahau accessories ndogo ndogo kama memory card za speed nzuri Transcend /Sandisk Class kuanzia 16Gb, lens hood na lens caps.
Tripod nayo ni muhimu na unaweza kuanza na hizi za kawaida kama Power 535 ($50)

Kwa upande wa software anza na Adobe Lightroom and Adobe Photoshop zitakufaa sana.
Muhimu ni kutokukata tamaa au kujivunja moyo kwa kufananisha kazi zako na zile za pros kama Albert Manifester(TZ), Aaron Nace(US), Sergei Rameli(FRANCE/US) au Kevin Buo(Kenya) jifunze kutoka kwao ila usijaribu kuwa kama wao.

Umeongea vyema sana mkuu
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
mkuu umepitisha. kama me nataka nibase kwenye masherehe camera gani inafaa mkuu na bei gani
 
mkuu umepitisha. kama me nataka nibase kwenye masherehe camera gani inafaa mkuu na bei gani
Kama una budget nzur mzee, Cannon C100 itakufaa maana inapiga picha na inarecord kwa wakat mmoja
 
Wana JF;
Sisi tuna-own Kampuni inayojshughulisha na Secretarial Services, Printing (Cards, Posters, Business Cards, Invitation Cards, Fliers etc). Tunazamia ku-expand business ili tufungue small Photo studio yenye uwezo ku kupiga passport sizes na picha nyinginezo pamoja na kusafisha (Digital Printing Services) kwa muda mfupi (Express Services)

Kama kuna mtu mwenye ujuzi/ufahamu kuhusu mashine nzuri za kudevelop na kuprint photos anipe specifications na kama inawezekana namna gani naweza kuzipata!

Kuna aliyenieleza kuhusu KODAK PHOTO KIOSK, lakini siifahamu na sijui inafanyaje kazi, kwa maana hiyo nahitaji ushauri mashine hizi (na nyinginezo) na pia kwa ujumla ni ipi muhimu kuanza nayo kwa small- medium size business.
Mwenye ideas ini-PM au anijibu kwenye post hii. Nakaribisha pia mtu mwenye nia ya kufanya biashara hii kwa UBIA
Ahsanteni

SIMILAR CASES
===============

============================================================

MAWAZO MBALIMBALI YA WADAU
Duh! Umenipa elimu balaa! Vipi hujapata hilo tenda la kupiga picha?
 
Write your reply...Habarini wakubwa. pia namm nahitaji kufanya biashara ya photo studio. sasa naombeni mnitajie vifaa vinanvyo takiwa pamoja na bei zake. ili nichek kama mtajiwangu utafika nifanye kama bado. nijipange.ahsante saanaa
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
camera mzuri inatakiwa iwe na megapixel ngapi? Printer nzuri kwa ajili ya picha za camera INA range kwenye kiasi gani cha bei? Thanks in advance chief
 
Back
Top Bottom