Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

Samahan mkuu, sikujua kama kuna watu wengine pia wanauhitaji wa mawazo yangu, sorry kama umekwazika pia[emoji120]
Sijakwazika ila ushirikishanaji ndio unaohitajika
 
Wakuu mambo vipi? Mimi nina mtaji wa mil 3 nataka nfanye photoshoot video shoot. Naombeni mwongozo wenu wadau. Mwenye experience na hii business. Karibu. Vifaa gani vya muhimu vinavyohitajka kw mwanzoni.

Pia kama kuna idea nyingine ya biashara nipeni wakuu.
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
 
Nimepata kitu hapa Mungu akubariki.kama una mengine ya muhimu tunaomba plse
 
Nasubiri ujibiwe mkuu
 
Ume
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
Umetisha mkuu.me nataka nibase kwenye masherehe na photoshot camera ipi inafaa
 
Umeongea vyema sana mkuu
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
mkuu umepitisha. kama me nataka nibase kwenye masherehe camera gani inafaa mkuu na bei gani
 
mkuu umepitisha. kama me nataka nibase kwenye masherehe camera gani inafaa mkuu na bei gani
Kama una budget nzur mzee, Cannon C100 itakufaa maana inapiga picha na inarecord kwa wakat mmoja
 
Duh! Umenipa elimu balaa! Vipi hujapata hilo tenda la kupiga picha?
 
Write your reply...Habarini wakubwa. pia namm nahitaji kufanya biashara ya photo studio. sasa naombeni mnitajie vifaa vinanvyo takiwa pamoja na bei zake. ili nichek kama mtajiwangu utafika nifanye kama bado. nijipange.ahsante saanaa
 
Nafkir unamaanisha Photostudio na Video, kama ndivyo ni lazima uwe na vifuatavyo mwanzo:
1.Camera( Ya picha na ya Video) japo kuna ambazo zinapiga picha na kushoot kwa wakati mmoja
2.Printer ya picha
3.Computer.
camera mzuri inatakiwa iwe na megapixel ngapi? Printer nzuri kwa ajili ya picha za camera INA range kwenye kiasi gani cha bei? Thanks in advance chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…