Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
Kwanza wewe mjinga sana. Unachepuka hata hamjapima unaenda peku. Umeambiwa ana mimba hujaandika popote kama ulihakikisha anayo kweli ama hana.
Kwa mkeo ulikosa nini mpaka ukaenda tembea na mwanamke anayefahamiana nae hadi namba anayo duh dharau sana.
Mtu huna hela unahonga elfu 10,15 bado unajiona kidume cha kuchepuka aiseee hebu pia rekebisha matumizi ya r na l
Hahaa.nauli sio nauri Shuaini zako mfyuuuuuuu mxiiiiiiuuuuuu
Kazi kweli kweli.
Hivi kwani wanaume (baadhi)kitulia na wake zenu haiwezekani?
Unajifanya unampenda mkeo huku uko busy kumtafutia Zawadi ya Ukimwi.
Huyo mwanamke wako mwwnyewe anaonekana ni wale wadangaji fourth grade.
20k unamhonga na yeye anapokea anavua pichu.
Shame on both of you.