Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Subiri vijana wenzio wakusaidie.
 
ni bahati mbaya tu mkuu,ni
mtu wa chuo anaogopa semester exams kuliko mwanamke! pia mwandiko wako sio wa intellectual
kwamb tuko tofauti wengne tuna mishpa y aibu labda niseme ko mi nataka iyo hali nisiwe nayo
 
Enzi za utoto wako uli ruka step kwa maana ya hukucheza kombolela na wasichana ndo maana unawaogopa.
Kasome chuo cha kutongoza nadhani hii itakusaidia.
 
usiende kwa mganga hapo hujasolve tatizo.hapo utaenda kuongeza zaidi ya hilo na utajuta milele.cha msingi ni kujiamini na kuondoa woga.be like a man.usimtumie sms za kijinga jinga muda wote tuma sms ya kutaka kuonana naye somewhere ili urushe voko zako.tafuta maneno matamu mazuri ya kuongea naye express your feelings to her.Fanya mazoezi ya kutongoza ingia room jifungie act kama unaongea naye ili ujenge confidence.isitoshe coca nao wamerahisisha mambo unaweza kuelezea hisia zako kwa kutumia coca.
 
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.
 
hah a
Enzi za utoto wako uli ruka step kwa maana ya hukucheza kombolela na wasichana ndo maana unawaogopa.
Kasome chuo cha kutongoza nadhani hii itakusaidia.
apana mkuu ni baada ya kufka o level ndo nikawa ivo but stage zte nimepata.hii hali nimeshangaa sana kwanin ukubwani na kwa watot wazuri jaman
 
hah
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.
hah sawa mkuu,ilaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…