Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu wa chuo anaogopa semester exams kuliko mwanamke! pia mwandiko wako sio wa intellectualha
pan mkuu nasom chuo kikubwa tu sema bas nimepanik tu inaezekan
Sasa ndio ujue kwamba hata vile unavyoona tatizo nako ni tatizo pia.hapana mkuu xio hivo,ni makosa tu Madogo but Niko makin sana na mambo yangu sema kwa hili jambo tu ndo lina shida
Mwenzako wakati najifunza kutongoza, kuna binti nlkuwa nampenda sana ila kumtokea nikiwa macho makavu nkashindwa na ikumbukwe simu za mikononi ilikuwa ni shida kumiliki....nkaamua kula kuberi kukata aibu, nkampa mistari kwa mda baada ya kuberi kuisha nguvu nikakimbia , ila ilisaidia ujumbe ulifika.
My take: Penye nia pana njianimekupat mkuu
kwamb tuko tofauti wengne tuna mishpa y aibu labda niseme ko mi nataka iyo hali nisiwe nayomtu wa chuo anaogopa semester exams kuliko mwanamke! pia mwandiko wako sio wa intellectual
basi tu yani hapo hata mimi nashindwa nitumie njia gani kwakweliSasa ndio ujue kwamba hata vile unavyoona tatizo nako ni tatizo pia.
tafuta cha Arusha dogo.....utamaliza kila kitu.ni bahati mbaya tu mkuu,ni
kwamb tuko tofauti wengne tuna mishpa y aibu labda niseme ko mi nataka iyo hali nisiwe nayo
Upo Chuo au shule ya msingi? Maana umeunganisha maneno balaa.ni kweli unachokisema aise,ila sasa ndo nashindwa mwenzenu IVO cjui tatzo nin
habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza na kuexplain hisia zangu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kimya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kubwambia abt love and relation coz natak awe Wang,hadi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza na kuexplain hisia zangu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kimya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kubwambia abt love and relation coz natak awe Wang,hadi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
abid mkuu hali ikiendelea kuwa mbaya ila kwa sasa ameniweza niko namhitaji san yanAchana nae. Utafeli bure
umenena vema mkuu na hizi ni feelings tu huwa zinakuja haijalishi uko level gani
sawa mkuu nimekuelewa sana nitafanya ivoBasi tumia plan B! Action speaks louder than words
nipo university mkuubwana mdogo upo chuo cha elimu ya juu au madrasa..???
apana mkuu ni baada ya kufka o level ndo nikawa ivo but stage zte nimepata.hii hali nimeshangaa sana kwanin ukubwani na kwa watot wazuri jamanEnzi za utoto wako uli ruka step kwa maana ya hukucheza kombolela na wasichana ndo maana unawaogopa.
Kasome chuo cha kutongoza nadhani hii itakusaidia.
hah sawa mkuu,ilaaaMnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.