Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

dah nimepata ushauri wako vzuri sana mkuu na ninaupokea na kuufanyia kazi thanks
 
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.


Khaaa! Amekuwa yule kigogo mwenye nyumba 72 au
 
Hebu kesho jaribu kumtumia sms ya tigopesa,utume kwa kutumia simu yako. Mtumie elfu 50. Kisha mwambie,umemtumia hela ya chai uone km hatakujibu.
 
mdogo wng jitahidi umalize shule kwanza then ndo ufikirie hayo mambo, kuna kudisco.Halaf kwa umri wako unatakiwa uyafikirie maisha yko baada ya kumaliza chuo, wasichana wapo but future haina tendency ya kukusubiria nafkir umenielewa
 
Nilitaka nijitolee kukufundisha mitongozo ila dah hutomaliza chuo na hii itaniuma sana wenda wewe ni mdogo wangu maana mdogo wangu yuko chuo ana umri kama wako embu kwanza soma
 
ww bwana mdogo unataka matatizo : ebu jiulize kwanza unapesa ya kumtunza shopping , kama huna uwezo hata wa kuudumia nywere zake bac ww piga book tuu :

pia kwa chuo mtu ambaye yuko comfatable na maisha ni yule asiye na demu sasa ww unafikili ukishampata utapata nn cha ziada ktk maisha yako kama sio kuambulia zambi tuu


tumilia akili kufikilia hatma ya maisha yako
 
we kweli mtoto huyo mwanamke wa kutongoza now dayz yuko wapi?sa ivi ukipeana na duu no asubuhi jion tu mechi.
 
hahaha mkuu kwa jins ulivyo (kama unayoongea ni kweli) nadhan hata huyo demu unaempenda ukimtongoza, kuna 90% probability kuwa atakukataa, atakuzungusha for months or years au atakuchuna..samahani lakini Blank page
 
asanteni sana wote mlonisaidia kimawazo ndugu zangu akina kaka na dada zangu siwezi kuwataja wote kwa majina but nimepokea ushauri wenu kwa mikono miwili na nitaufanyia kazi,nimeamua moja ambalo nimeona ni bora na wengi mumenishauri kusoma kwanza na si vinginevyo na ninaachana na hiyo habari ya mapenzi naanza rasmi kitabu ili nisiwe na stress nikiwa chuo wala nisiingie gharama kumgharamia uyo mtoto mwenzangu wa kike pia ili nifaulu na nisije kudisco asanteni sana mlokuwa grteat thinkers than me.acha nisome mana coz yangu yenyew n shda.Mungu awabariki sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…